Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa leo Aprili 22, 2022 ameshiriki futari maalum jijini Dar es Salaam. Futari hiyo maalum imeandaliwa na Ubalozi wa Saudi Arabia na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali. Katika futari hiyo maalum wageni waliohudhuria wameaswa kutenda mattendo mema katika kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani na baada ya hapo kama ilivyoelekezwa kwenye kitabu kitakatifu cha Qur'an.

 


Na John Mapepele

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa leo Aprili 22, 2022 ameshiriki futari maalum jijini Dar es Salaam.

Futari  hiyo maalum imeandaliwa na Ubalozi wa Saudi Arabia na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Katika futari hiyo maalum wageni waliohudhuria wameaswa kutenda mattendo mema  katika kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani na baada ya hapo kama ilivyoelekezwa kwenye kitabu kitakatifu cha Qur'an.

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Mchengerwa atoa wito kwa jeshi kuwa na timu ya soka.

Mhe. Kikwete aipongeza Wizara kwa kukuza Sekta ya Sanaa kwa kasi, adai ina mchango mkubwa kwenye uchumi

MOROCCO YAKUBALI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KWENYE MICHEZO